wanawake ndani ya migodi ya madini jimboni kivu ya kusini inchini DRC

15-12-2015 10:32:22

Tunazungumzia kazi ambazo wamama wanaendesha ndani ya migodi hizi. Kazi ngumu na ambazo mara nyingi zawavua samani yao. Hiyo ni kwa nia ya kujali jamaa zao.